Mauzo App ni application inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia kujua kama biashara yako inatengeneza faida.
Hutumika katiika biashara ndogo na za kati zinazojiusisha na kununua na kuuza bidhaa, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa huduma
Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.
Taarifa (data) zako zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.